![]() |
|||
![]() |
DIBAJI | HADITHI | ANWANI | MALENGO | MAISHA | PICHA | BLOGI | ||
| Ukurasa
huu wa malengo ni ukurasa amabao nimependelea hasa kueleza malengo niliyo nayo hasa.nia na madhumuni ya tovuti hii ni kutaka kuwashirikisha watu wa jamii ya likoni na wengineo ambao wangependa kuwasiliana na kujuana na watu tofauti na kubadilishana maneno machache ya kimaisha,kiuchumi na kadhalika. Kwa hakika ulimengu huu wa sasa technologia ndio kitu
kinacho tawala ulimwengu |
|||