![]() |
||||
![]() |
DIBAJI | HADITHI | ANWANI | MALENGO | MAISHA | PICHA | BLOGI | |||
| siku
moja nilikuwa nimeenda kumtembelea rafiki yangu ambae pia ni kama mwalimu
wangu wa kimaisha rafiki yangu si wa umri wangu bali nim mzee ambae mimi naweza kuwa mtoto wake wa mbali kama vile wa nne hivi. Bwana huyu amewahi kunipa hadithi nyingi sana za kimaisha
ambazo zataka wakati kuzisimulia lakini kwa Katika hali ya mazungumzo yetu ya kila siku,alinipa hadithi
kama wasia pia kwa njia nyengine,je niwasia Rafiki yangu: -aseama mtu ukiishi duniani yatakikana ufe kabla hujakufa
Kufa hujakufa;ni hivi,je imekupitia katika nafsi yako
kuwa pengine siku moja wawezakulala na usiamke ikawa Ufilisike kabla huja filisika fikiria leo uko kazini
ni ifikapo mwisho wa mweza wapata mshara wako kama kawaida Uchukiwe kabla kuchukiwa,mfano wewe una marafiki wengi
wanakupenda sana,halafu asubuhi moja uamke ukute kila mtu kwa ufupi hadithi hii nia na madhumuni yake nikumfanya
mtu awe saa zote yuko katika hali ya tahadhari awe tayari kwa lolote |
||||