DIBAJI | HADITHI | ANWANI | MALENGO | MAISHA | PICHA | BLOGI    
                 
    karibuni kwenye mtandao huu wa malimwengu,
mtandao huu ni kama tagaa ya mtandao
halisi wa swabak.com,
badaa ya kimya kingicha kushughulikia
mtandao wa swabak nimeonelea
nianzishe huu mtandao wa malimwengu kwa
lughayetu ya taifa ili wengine nao wapate kujua
kinacho jiri katika ulimwengu wetu huu wa
teknologia.


Ukurasa huu nimeuita dibaji kama kusema kuwa
ndio chanzo,mlango ama muongozo wa huu mtandao
wenyewe kwa jumla mtandao huu wakaribisha mtu
yoyote anae elewa kiswahili kwa anae pendelea
kiingereza mahali pa kuwa ni swabak.com

Katika mtandao huu tutagusia mengiyanayo husu
maisha yetu ya kileo,furaha zake na madhila yake
na mambo mengi mengineo pia hapa katika mtandao
huu wa karibishwa na maoni yako yatakayo weza
kuboresha mtandao huu na pia yatakayo weza
kutuelimisha sisi sote kwani hakuna mtu anaetoshwa
na akili yake.

Hapa kwenye malimwengu waweza kutoa maoni yako kupitia
ukurasa ulioandikwa blogi, hapa kwenye blogi sema yote
unayo weza kusema ili
wengine nao waone watajishirikisha vipi kwenye hayo
maoni yako mwakaribishwa nyote kwenye malimwengu.

Na kwa kumalizia nikwamba waweza kupata huduma
zamatangazo katika tovuti hii ya malimwengu na pia
kwenye tovuti mama ambayo ni swabak.com
ahsanteni sana na karibuni nyote.


    kwa matangazo yako yote ya kibiashara pitia kwenye mtandao wa swabak.com upate bei ya mwananchi  
             
kwa mahitaji yako yote yanayo husiana na shughuli  za baharini kama vipi,agenti wa meli,samaki wa kutoka korea na mengi mengineo wasiliana na kampuni ya berrel sipping and logistics kenya limited
     
 
     
     
   
 
       
       
         
       
       
           
       
       
           
       
       
       
               
  © 2009      
dibaji soma hadithi kutoka ukurasa huu anwani malengo maisha picha blogi ,toa maoni yako hapa